PICTURE WAS TAKEN IN FALSE BAY SOUTH AFRICA BY DANA ALLEN. |
Thursday, November 29, 2012
WATU 7 KUNYONGWA WALIOSHUKIWA KUTENGENEZA FILAMU.
Hasira dhidi ya filamu hiyo iliyokuwa inamkejeli Mtume Mohammed, ilisababisha maandamano dhidi ya Marekani kiasi cha kuteketezwa ubalozi wake nchini Libya. Hukumu hizo ziliidhinishwa na Mufti mkuu nchini Misri ambaye pia ni msomi wa dini ya kiisilamu.Washukiwa hao saba walihukumiwa wakiwa hawapo mahakamani.Filamu hiyo iliyokuwa ya hali ya chini mno, ilitengezwa mjini Carlifonia, Marekani na kutolewa kwenye internet mwezi Septemba. Miongoni mwa wale walioshtakiwa ni mtengezaji wa filamu yenyewe Morris Sadek ambaye ni raia wa Misri. Mahakama itatoa hukumu ya mwisho mwezi Januari kufuatia itikio la Mufti.
DEMOKRASIA SOMALILAND
Uchaguzi huo haufanyiki katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo ambayo yana mzozo na jimbo jirani la Puntland. Tangu ilipojitangazia uhuru wake kutoka kwa Somalia mwaka 1991, Somaliland imekuwa ikipata mafanikio taratibu , lakini thabiti kuelekea demokrasia.Inaripotiwa kuwa watu wengi wamejitokeza kupiga kura katika uchaguzi huo na kuna misururu mirefu nje ya vituo vya kupigia kura Hadi uchaguzi huu, ni vyama vitatu vilivyo ruhusiwa kuendesha shughuli zake . Sasa mfumo umewekwa na vyama saba vinachuana katika uchaguzi wa mitaa .
WATU 200 WAJERUHIWA WAKITAFUTA KAZI TUNISIA.
Waandamanaji hao walikuwa wakimtaka gavana wa eneo hilo kujiuzulu, kutaka msaada wa kiuchumi na kushinikiza watu kumi na wanne waliokamatwa katika ghasia za Aprili kuachiliwa. Vyama vya wafanyakazi vimeitisha maandamano zaidi baadaye leo.Maafisa wa usalama walitumia gesi ya kutoa machozi na risasi za mipira kuwatwanya watu waliokuwa wanataka ajira. Pia kulikuwa na ripoti za watu kutibiwa baada ya kupata majeraha ya risasi.
Wednesday, November 28, 2012
TANZANIA MALAWI WRITES TO CHISSANO
Tanzania is currently finalising a joint letter and terms of reference to send to former Mozambican President Joaquim Chissano for mediation of the Lake Nyasa border dispute.
GOVT PRAISES PHONE COMPANIES FOR YOUTH JOB CREATION.
The Government has praised telecommunication companies in the country for being the leader in youth jobs creation. Kinondoni District Commissioner Jordan Rugimbana said more people in the country, particularly youths have secured employment in the telecommunication industry.
MISRI WATU WAKESHA KUMPINGA RAIS MURSI.
Walikesha wakiimba nyimbo za kumlaani rais pamoja na vuguvugu lake la kiislamu la Muslim Brotherhood. Maandamano mengine ya kumpinga rais Morsi yamefanyika katika maeneo mbali mbali nchini humo.Jana Jumanne, maelfu ya waandamanaji walifurika katika medani hiyo wakiandaa mandamano kadhaa huku wakisema watamkiuka rais Mursi huku wakipinga mamlaka aliyojilimbikizia. Bwana Morsi amejaribu kumaliza mzozo huo kwa kuahidi kuwa madaraka yake yatakuwa na kikomo.
Tuesday, November 27, 2012
OBAMA ATAPUUZA AFRICA TENA?
Rais Barack Obama, katika muhula wake wa kwanza, alizuru Afrika mara moja tu, tena kama mpita njia, na kusema wazi kwamba hangekuwa anajihusisha kupita kiasi na maswala ya Afrika. Kwa hivyo, ni mabadiliko yapi yatakayokuwepo katika muhula wa pili?“Hatima ya Afrika iko mikononi mwa Waafrika wenyewe,” alisema huko Ghana, katika hotuba iliyodhihirisha wazi kwamba ushawishi wa Marekani unapungua katika bara ambalo sasa linafanya biashara zaidi na Uchina kuliko Marekani. “Kama Kenya itafanya uchaguzi huru, basi Obama ataitembelea nchi hiyo. ''Swala hili la yeye kutokuwa na muda na Afrika, kwa sababu ya matukio mengine, halikutiwa mkazo katika uchaguzi ulioangazia maswala nyeti nchini Marekani na harakati za mapinduzi katika nchi za Kiarabu. Akitoa hotuba yake baada ya kushinda, Bwana Obama aligusia tu “,muongo wa vita” na “watu walioko katika nchi za mbali… wanaoweka maisha yao hatarini ili tu kujadili masuala muhimu, na kupata nafasi, kama sisi, kupiga kura kama sisi tulivyopiga leo”
MWILI WA YASSER ARAFAT WAFUKULIWA
Kutoka kaburi lake liloko ukingo wa Magharibi mjini Rammala ili kuwawezesha kuufanyia uchunguzi kubaini iwapo aliuwawa kwa sumu.
Monday, November 26, 2012
WACHEZAJI WANAO WANIA TUZO LA MCHEZAJI BORA AFRICA.
Wanaowania tuzo la BBC
BofyaYahya Toure.Mcheza kiungo kutoka Ivory Coast, anayeichezea Manchester City ya Uingereza. Toure aliiongoza Manchestert City kushinda kombe la ligi kuu ya Premier ya England kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 44 iliyopita. | |
BofyaDemba Ba kwa sasa ni mmoja wa wachezaji nyota wa klabu ya Newcastle na kufikia sasa tayari amefunga jumla ya magoli 6 katika ligi kuu ya premier la England na anatarajiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha Senegal kitakachocheza katika fainali ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika. | |
BofyaDidier Drogba ni noadha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, amewahi kuongoza Chelsea kushinda kombe la ligi kuu ya Premier ya England pamoja na kombe la klabu bingwa barani ulaya. | |
BofyaChristopher Katongo ni mchezaji wa timu ya taifa ya Zambia maarufu kama Chipolopolo na aliiongoza timu hiyo kushinda fainali ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika | |
BofyaYounes Belhanda ni mchezaji mwenye umri wa miaka 22, na mmoja wa wachezaji waliotia fora na kuisaidia klabu ya Montepellier, kushinda kombe la ligi kuu kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya karne moja tangu klabu hiyo ilipobuniwa. |
AU SEEKS FASTER RESOLUTION TO THE CONGO CRISIS.
The African Union has called for an immediate implementation of the Kampala summit decisions on the situation on the eastern part of DRC. She asked all of the countries on the region to have full support.
FLAGELLATIONS TO MOURN SHIITE MARTYR
WARNING GRAPHIC CONTENT: Muslims all over the world pay their respects with the flowing of their blood as they mourn the slaying and martyrdom of Imam Hussein, the grandson of Prophet Mohammad. In some Shi'a regions of Muslim countries such as Afghanistan, Iran, Iraq, Turkey, Azerbaijan, Pakistan, Lebanon, and Bahrain, the commemoration of Husayn ibn Ali has become a national holiday.
Saturday, November 24, 2012
Friday, November 23, 2012
CLASSROOM OF THE FUTURE SMART DESK.
The desks and software were designed by experts at Durham University, and studies have shown they can increase both fluency and flexibility in maths. The multi-touch, multi-user smart desks have been trialled in a three-year project by more than 400 pupils, and have been nick-named the 'Star Trek classroom'.
RAIS MUSEVENI KUZUNGUMZA NA M23
Rais wa Uganda amewaalika viongozi wa M23 kujaribu kutafuta mbinu za kumaliza mzozo unaokumba Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ay Congo, wamepuuzilia mbali wito kutoka kwa viongozi wa kimataifa wa kusitisha mapigano na pia kuondoka kutoka mji wa Goma Mashariki mwa nchi hiyo
NEW VIDEO PAH ONE FT SHREKEEZY I WANT GET PAID
This video was made in bongo mikocheni we stepping up you would not believe this is a low budget video only took 2million TZS to complete.
Thursday, November 22, 2012
CRISTIANO RONALDO DONATES 1.5 MILLION EURO TO CHILDREN IN GAZA.
Real Madrid iconic forward Cristiano Ronaldo has donated €1.5 million to Palestinian children in Gaza, the Arabic version of the club’s Classico network reports.
The star forward gave his Golden Boot which he earned in 2011 to the Real Madrid foundation. The Spanish giants in their turn sold it at auction and will now donate the funds to schools in Gaza. Cristiano Ronaldo or the Real Madrid club have not commented on the news so far.
According to various reports, the Real Madrid Foundation has helped to build 167 schools in 66 countries.
It’s not the first time Ronaldo has given to charity. Last year he sold most of his sports shoes at a Real Madrid Foundation auction which was also dedicated to raising funds for schools in Gaza
CHINESE COMPANY PLAN TO BUILD WORLD TALLEST SKYSCRAPER IN JUST 90 DAYS.
Sky City in Changsha, south-east China (pictured in an artist's impression), will be a 220-storey structure standing at an incredible 2,749ft (838m). It will house 17,400 people and also boast hotels, hospitals, schools and office space with occupants using 104 high-speed lifts to get around. The half-mile high superstructure will be 32ft taller than the Burj Khalifa in Dubai - the current tallest building - and is expected to cost almost half as much.
A SIGHT FOR SNORE EYES
Researchers at Australia's Flinders University have launched world's first spectacles which reset your body clock to combat insomnia and beat jet-lag. Sleep researcher Professor Leon Lack said a green light helps to readjust the body's internal clock. Those who wanted to sleep and wake up earlier should wear the device for 50 minutes in the morning, while those who want to sleep and wake later should wear them for 50 minutes before bed to delay the body clock
Wednesday, November 21, 2012
MESSI AMAZING FINISH.
The Argentine was at it again on Tuesday with two goals in his side's 3-0 victory over Spartak Moscow.
KIKWETE TO SADC
President Jakaya Kikwete has asked Southern African Development Community (SADC) member states to mobilise sufficient resources so as to enable the regional bloc grapple with political and security challenges
AFRICA'S FUTURE IS BRIGHT, BUT HARD WORK LIES AHEAD.
Africa Industrialisation Day was marked yesterday. In addition to signifying renewed hope for Africa’s future, it was an opportunity to mobilise the commitment of the international community to the industrialisation of the continent.
Current growth trends point to Africa’s rapid industrialisation, which puts the continent on the path to attaining “first world” status if it sustains a two per cent annual growth rate over the next three decades.Experts predict that Tanzania’s economy will be larger than the current one of Switzerland, Turkey, Indonesia, Korea and Mexico by 2050 if the country sustains its current growth rates.
This year’s Africa Industrialisation Day highlighted the important role intra-African trade can play in reducing poverty, increasing food and nutrition security and supporting sustainable development.
Current growth trends point to Africa’s rapid industrialisation, which puts the continent on the path to attaining “first world” status if it sustains a two per cent annual growth rate over the next three decades.Experts predict that Tanzania’s economy will be larger than the current one of Switzerland, Turkey, Indonesia, Korea and Mexico by 2050 if the country sustains its current growth rates.
This year’s Africa Industrialisation Day highlighted the important role intra-African trade can play in reducing poverty, increasing food and nutrition security and supporting sustainable development.
JADEN SMITH DEBUTS NEW LOOK
Tuesday, November 20, 2012
Monday, November 19, 2012
MORE CHILDREN DIE IN LATEST ISRAEL STRIKE.
NEW STANDARD FOR SUITABLE ROAD HUMPS.
AWARD WINNERS WA CHANNEL O 2012
Most gifted African East video of the Year- Ay ft Sauti sol
Most gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Most gifted African West Video D-Black ft Mo’ Cheddah (Nigeria) – Falling.
Most gifted African South video of the year Cashtime Fam – Shut It Down
Most gifted Female video of the year – Zahara – Loliwe
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi rmx
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Male Video na most gifted video of the Year Oliver Twist zimechukuliwa na D’banj
MAENEO YA WAZI OYSTERBAY KUPANGISHWA KINYUME YA SHERIA.
Mzee Mushi mwenyekiti wa Serikali za mitaa oysterbay mpangishaji wa maeneo ya wazi ya jiji kwa manufaa yake binafsi. kwenye barabara ya Haile Selasie Wafanyabiashara ndogo ndogo wanyanyasika. Anajita Rais wa oysterbay sheria ichukuwa mkono wake kumzibiti huyu ofisadi.
Saturday, November 17, 2012
Friday, November 16, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)