Thursday, November 29, 2012

WATU 200 WAJERUHIWA WAKITAFUTA KAZI TUNISIA.


Waandamanaji hao walikuwa wakimtaka gavana wa eneo hilo kujiuzulu, kutaka msaada wa kiuchumi na  kushinikiza watu kumi na wanne waliokamatwa katika ghasia za Aprili kuachiliwa. Vyama vya wafanyakazi vimeitisha maandamano zaidi baadaye leo.Maafisa wa usalama walitumia gesi ya kutoa machozi na risasi za mipira kuwatwanya watu waliokuwa wanataka ajira. Pia kulikuwa na ripoti za watu kutibiwa baada ya kupata majeraha ya risasi.

No comments:

Post a Comment