RAIS MUSEVENI KUZUNGUMZA NA M23
Rais wa Uganda amewaalika viongozi wa M23 kujaribu kutafuta mbinu za kumaliza mzozo unaokumba Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ay Congo, wamepuuzilia mbali wito kutoka kwa viongozi wa kimataifa wa kusitisha mapigano na pia kuondoka kutoka mji wa Goma Mashariki mwa nchi hiyo
No comments:
Post a Comment